Watano kizimbani wakidaiwa kuhujumu miundombinu SGR Kesi hiyo imevuta watu wengi waliofika mahakamani kuisikiliza.
Tanzania yaanza kufanikiwa mauzo bidhaa za viwanda nje Tanzania imefanikiwa kuuza bidhaa mbalimbali za viwanda kwenye nchi zaidi ya 50 duniani, hatua inayochangia kukuza uchumi wa wananchi.
Chuo cha ZOE chatoa mafunzo ya uongozi kwa vijana Ili kukuza maarifa na maadili kwa jamii itakayolitumikia Taifa kwa nyanja mbalimbali na kuzingatia maadili na utu wema, Chuo cha maandiko ya biblia (ZOE) kilichopo Kibaha mkoani Pwani kimeanza...
Mchengerwa: Tutamega maeneo ya hifadhi za asili kwa shughuli za maendeleo Amesema uamuzi huu umechangiwa na mpango wa kuitanua wilaya hiyo ili kufungua fursa mpya za kiuchumi na kimaendeleo kwa wananchi.
Wito wa amani, uwajibikaji na usafi vyatawala maadhimisho ya uhuru mikoani Sherehe za maadhimisho ya uhuru zimefanyika kwa njia tofauti katika mikoa mbalimbali nchini ambapo wananchi na viongozi wameshiriki kufanya usafi huku wito wa amani ukitolewa kwa Watanzania wote.
Wawili mbaroni kwa mauaji, kujeruhi Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu wawili, mmoja akiwa ni mume anayetuhumiwa kwa kumuua mkewe na mwingine akidaiwa kuwajeruhi watu wanne kwa kutumia bunduki.
Wenyeviti waomba nyongeza ya posho Wenyeviti wa serikali za mitaa 73 kutoka Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani, wameomba kuongezwa kwa posho wanayopokea kutoka Sh10,000 hadi Sh50,000.
Askari polisi afariki dunia kwa kugongwa barabarani Uchunguzi unaendelea kubaini aina ya chombo kilichomgonga askari huyo.
12 wahukumiwa kwa makosa ya rushwa Kwa mujibu wa Takukuru kati ya kesi 22 za rushwa zilizoshughulikiwa, 12 zimeshatolewa hukumu huku nyingine zikiendelea kusikilizwa.
Aliyehukumiwa miaka 30 jela aangua kilio mahakamani Mshtakiwa wa kesi ya ubakaji, Damas Gwimile ameangua kilio katika Mahakama ya Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani wakati akisomewa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela pamoja na viboko 12.