Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Shule zafunguliwa kwa muitikio mkubwa, wanaume wanyoshewa kidole

    Wakati shule za msingi na sekondari nchini zikifunguliwa kwa muitikio mkubwa, baadhi ya wazazi na walezi wameeleza changamoto za kiuchumi zinazoathiri ununuzi wa vifaa vya shule, huku kina baba...

  2. Mawasiliano Same-Mkomazi yarejea daraja likikamilika 

    Kuvunjika kwa daraja hilo kulisababisha adha ya usafiri na usafirishaji hasa kwa wananchi wanaoishi katika safu za milima ya Upare.

  3. Siri Jimbo Katoliki Moshi kupata mapadri 18

    Jimbo Katoliki la Moshi mkoani Kilimanjaro limepokea mapadri 18 waliopanda daraja kutoka kuwa mashemasi, huku ikielezwa kuwa maadili, malezi imara ya familia, elimu na sala ndio siri ya mafanikio...

  4. Mashemasi 18 Moshi wapata upadre, Askofu Pengo awafunda

    Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewataka mapdre vijana kuwa tayari wakati wowote kwenda kufanya kazi za kitume katika vituo vya...

  5. Mtoto ajeruhiwa shingoni, ashonwa nyuzi tisa

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Azimio, iliyopo Kijiji cha Uchira wilayani Moshi, Dorcas Halifa (13) amejeruhiwa shingoni na kitu chenye ncha kali.

  6. Ujenzi daraja lililovunjika Same wafikia asilimia 95

    Ujenzi wa Daraja la Mpirani lililovunjika na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara katika Barabara Kuu ya Same-Mkomazi, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro umefikia asilimia 95.

  7. Hofu ya wanyama wakali yasababisha wazazi wa Same kujenga shule yao

    Wakazi wa Kitongoji cha Igoma, Kata ya Maore, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kujenga shule yao ili kuwalinda watoto wao wanaotembea umbali mrefu kufuata shule dhidi ya hatari ya...

  8. Madereva wenye leseni, hawana vyeti kikaangoni

    Hatua hiyo ilisababisha kusimama kwa muda kwa shughuli za usafirishaji, hali iliyosababisha usumbufu kwa abiria katika stendi ndogo ya magari mjini Moshi.

  9. Mzee adaiwa kujinyonga kisa msongo wa mawazo

    Majirani walipoona nzi wengi wakizunguka nyumba ya mzee huyo, waliamua kuvunja mlango na kuingia ndani na kukuta mwili wa Tuju ukining'inia.

  10. Usafiri Moshi bado changamoto

    Mamia ya abiria wanaotaka kusafiri kutoka Moshi kwenda maeneo mbalimbali nchini, hususani mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma ambao hawakukata tiketi mapema wanalazimika kusubiri kusafiri hadi...

Previous

Page 45 of 144

Next