Mawasiliano Same bado baada ya daraja kukatika Mawasiliano ya barabara kuu ya Same-Mkomazi, wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro yameendelea kukwama kwa siku ya pili, mamlaka husika zikiendelea kutafuta ufumbuzi.
Wadaiwa kuharibu gari la polisi mkesha wa mwaka mpya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya vurugu na kuharibu gari la polisi lililokuwa likifanya doria usiku wa kuamkia Januari Mosi, 2025.
Moto wateketeza mali za wapangaji, Sh3.4 milioni Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vyumba vitatu vya wapangaji katika Mtaa wa Wailesi, Kata ya Soweto, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakati wakijiandaa kupika chakula cha...
Dk Timbuka aonya matumizi jani la ‘sale’ kuombana msamaha matukio ya ukatili Wakati mamia ya wananchi wa kabila la Wachaga wakiendelea kukukutana kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka katika kijiji cha Umbwe Sinde, Kata ya Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi, mkoani...
Utata kifo cha Wakili Manyara Wakati Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kikitoa tamko la kulaani kushambuliwa na kuuawa kwa Wakili Joseph Masanja, Wakili Peter Madeleka amesema ni wakati wa TLS kutumia sheria ya...
Wachaga wanavyokula maisha mwisho wa mwaka “Wachaga hatuna shughuli ndogo.” Hayo ni baadhi ya maneno yanayozungumzwa na wenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro, ambao wameendelea kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka, wakifanya sherehe kwa...
Waliofariki ajali ya basi, Noah Rombo wafikia 10 Kamanda Maigwa alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Noah akijaribu kuyapita magari mengine bila kuchukua tahadhari.
Miili sita waliofariki kwa ajali Rombo yatambuliwa Kamanda Maigwa, amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Noah akijaribu kuyapita magari mengine bila kuchukua tahadhari.
Tisa wafariki dunia ajali ya basi, Noah Rombo Mwangwala amesema majeruhi mmoja ambaye amesalia katika ajali hiyo amepelekwa hospitali ya Huruma kwa matibabu zaidi.
PRIME Desemba ya ajali, wengine 20 wafa Rombo, Tanga Ajali hizo zinatajwa na Kikosi cha Usalama Barabarani kuwa baadhi zimesababishwa na uzembe wa kibinadamu na nyingine ni ubovu wa magari.