Sababu wageni kupewa maeneo ya kuchimba gesi, mafuta Matumizi ya gharama kubwa katika kuchimba visima vya gesi imetajwa kuwa sababu ya Serikali kunadi vitalu vyake, ili kuita wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali.
Yajue maeneo Tanzania wawekezaji wanaweka zaidi fedha Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na TIC hivi karibuni viwanda ndiyo sekta kinara kwa kuvuta uwekezaji ambapo zaidi ya Sh10.79 trlioni ziliwekezwa katika kipindi hicho ikifuatiwa na sekta ya...
Serikali yataka ‘kibano’ kwa wababaishaji sekta ya madini Hiyo ni kutokana na kuwapo kwa malalamiko kutoka kwa wadau juu ya baadhi ya wazawa wanaopewa kazi na kuzembea au kufanya kazi kwa viwango visivyokubalika.
Thamani mfuko WCF yafikia Sh748 bilioni Thamani ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imefikia Sh748 bilioni kutoka Sh445.3 iliyokuwapo katika mwaka 2020/2021.
Watoa huduma sekta ya madini waja kivingine Umoja huo pia unalenga kuhakikisha watoa huduma hao wanakuwa miongoni mwa wanufaika katika Sh3.1 trilioni zinazotumika kila mwaka katika ununuzi wa madini.
PRIME Ponografia za watoto mtandaoni zaongezeka, wadau wataka udhibiti Wadau wametaka sheria kali zichukuliwe kwa watu wanaosambaza ponographia za watoto katika mitandao ya kijamii ili iwe fundisho kwa wengine wanaotamani kufanya hivyo.
Bosi mpya Tanesco aanza na umeme Mbagala Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange ametangaza awamu ya kwanza ya kituo cha kupoza umeme cha Mbagala kilichoboreshwa kimeanza rasmi kufanya kazi huku...
Wadau wataka habari bunifu zipewe nafasi Wadau wa masuala ya ubunifu wamevitaka vyombo vya habari nchini kuongeza kasi ya uandishi wa habari za ubunifu kwa sababu ndiyo dunia inakokwenda.
PRIME Matukio ya wizi yaliyotikisa vituo vya polisi Matukio ya uvunjaji, wizi wa pikipiki na mifugo yanatajwa kuripotiwa zaidi katika vitu vya Polisi kwa miaka miwili mfululizo wa 2023 na 2024, Ripoti ya hali ya uhalifu ya Jeshi la Polisi inaeleza.
ACT-Wazalendo yataka hatua za wazi waliotajwa ripoti ya CAG Pasipo kufanya hivyo, imeelezwa wananchi wataona ripoti ya CAG hutolewa kila mwaka kwa kutimiza wajibu na si kwa ajili ya kufunua uovu uliojificha na kuuchukulia hatua.