Tigo yabadili tena jina, yaeleza sababu Imetambulisha jina hilo jipya leo Novembe 26, 2024 jijini Dar es Salaam, hatua hiyo imefanyika katika mataifa matano Afrika inakotoa huduma.
Rais Samia atoa pole ajali ya Kariakoo, aagiza nguvu zaidi za uokoaji Katika salamu hizo pole alizozituma kupitia mtandao wa kijamii, Rais Samia amehimiza Watanzania kuendelea kuwaombea wale wote ambao wamekumbwa na ajali hiyo.
Safari ya Tanzania kunufaika, fursa za madini ya kimkakati Wakati wa jukwaa la uzinduaji lililoandaliwa na Taasisi ya Hakirasilimali mapema mwezi huu, Waziri wa Madini, Antony Mavunde alisema kuwa Tanzania imeandaa mkakati maalumu wa kuyavuna madini...
Haya ndio majukumu aliyokuwa akiyafanya Mafuru Dar es Salaam. Asubuhi ya leo ilitokea taarifa iliyoacha simanzi kwa wengi, nayo ni ya kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru ambaye amehudumu nafasi hiyo kwa mwaka mmoja...
PRIME Safari ya Mafuru ndani na nje ya Serikali Mpaka anafariki alikuwa akihudumu katika taasisi nne tofauti.
Mafuru afariki dunia, Rais Samia aomboleza Amewahi kuwa Msajili wa Hazina na Ofisa mtendaji mkuu wa Benki ya NBC Tanzania
Uzalishaji wa umeme Tanzania wafikia Megawati 2,600 Kuanza kwa uzalishaji wa umeme katika mradi wa Julius Nyerere kumeongeza uzalishaji wa umeme nchini kwa megawati 1,175.
Fahamu faida za ndevu, siri wanawake kuvutiwa nazo Kwa wanaume wengi, kufuga ndevu ni zaidi ya mtindo wa kimaumbile kwani ni njia ya kujieleza na kuonyesha utu wao.
Mkutano wa Focac utakavyoimarisha uchumi wa Tanzania, Afrika Marais karibu wote wa nchi za Afrika hivi sasa wako nchini China katika mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), ambao umeanza jana na unatarajiwa kuhitimishwa kesho.
Mradi wa taka kuwa mali waanzishwa Morogoro Meya Morogoro, Pascal Kihanga amesema mradi huo utasaidia kuboresha hali ya usafi ya manispaa anayoiongoza na kutoa ajira