Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1156 results for Jesse Mikofu :

  1. Rais Mwinyi ahimiza utulivu, amani kuelekea uchaguzi mkuu

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kuendelea kuliombea taifa kuwe na amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.

  2. SMZ yakusanya Sh53 bilioni bima ya afya kwa wageni

    Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikikusanya Dola za Marekani milioni 20.034 sawa na Sh53.270 bilioni kutokana na bima ya lazima za safari kwa wageni wote wanaoingia Zanzibar...

  3. Baada ya TLP na SAU, Mgaywa aibukia ADC kuwania urais

    Mwanasiasa Mutamwega Mgaywa, baada ya kugombea urais wa Muungano mara mbili bila mafanikio kupitia vyama vya Tanzania Labour Party (TLP) na Chama cha Sauti ya Umma (SAU), sasa ameibuka kupitia...

  4. Serikali yagoma kubadilisha matumizi mashamba ya mpira

    Licha ya Serikali kukikiri kwamba hakuna tija inayopatikana kwa sasa kutokana na mashamba ya mpira, lakini imegoma kubadilisha matumizi ya mashamba hayo.

  5. Sababu zatajwa ongezeko watoto njiti Zanzibar

    Wakati idadi ya watoto wanaozaliwa kabla ya umri (watoto njiti) ikiongezeka Zanzibar, Wizara ya Afya imetaja sababu tano zinazochangia tatizo hilo ikiwa ni pamoja na maambukizi kwa mama ikiwemo...

  6. Makundi maalumu wawekewa akaunti Mfuko wa Bima ya Afya Zanzibar

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (ZMZ) kupitia Mfuko wa Bima ya Afya (ZHSF) imeweka akaunti maalumu ya usawa, itakayosaidia kuimarisha shughuli za upatikanaji wa huduma za afya kwa makundi...

  7. Kutelekezwa eneo la Bwawani kwawaibua wawakilishi

    Unguja. Wawekezaji watatu wameonyesha nia ya kuliendeleza eneo la uhifadhi la Bwawani ambalo limekuwa na hali mbaya kimazingira ambayo ina athari za kiafya na taswira mbaya. Eneo...

  8. Kukosekana mifumo ya umwagiliaji eneo kubwa la kilimo laachwa wazi

    Unguja. Licha ya kilimo cha mpunga kuwa tegemezi kisiwani hapa, kukosekana kwa miundombinu ya umwagiliaji na kuendelea kutegemea msimu wa mvua umeendelea kuwa mwiba kwa wakulima na kuchangia...

  9. BLW laishauri Serikali kuweka taasisi huru kutathmini kodi zinazotozwa Z'bar

    Unguja. Mwakilishi wa Tunguu, Simai Mohamed Said ameishauri Serikali kutafuta taasisi inayojitegemea kufanya tathmini ya kodi zinazotozwa Zanzibar, ili kuweka usawa kulingana na matakwa ya kisiwa...

  10. SMZ yaanzisha mwendo kukabili migogoro ya ardhi

    Amesema kiwango hicho ni kikubwa ikilinganishwa na ardhi iliyopimwa na kutolewa hati mwaka 2015 hadi 2020 ambapo walipima maeneo 1,709.

Previous

Page 6 of 116

Next