PRIME Takukuru yajitosa tuhuma za rushwa wagombea CCM Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, kueleza kuhusu mbinu mpya za rushwa zinazotumiwa na baadhi ya makada wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu...
PRIME Siri Rais Samia kuendelea kung’ara majukwaa ya kimataifa Miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani imekuwa na ushawishi mkubwa katika jumuiya ya kimataifa kutokana na kuaminiwa na kupewa majukumu kwenye jumuiya za kikanda na ulimwenguni kwa...
PRIME Kazi iliyo mbele ya mwenyekiti mpya wa AUC Hata hivyo, Odinga alijiondoa katika kinyang’anyiro hicho katika awamu ya sita baada ya kuzoa kura 22 dhidi ya 26 za Youssouf.
PRIME Chadema yaja na vuguvugu la mabadiliko Vuguvugu hilo litahusisha mikutano ya hadhara nchi nzima na kushirikisha wadau tofauti wakiwamo viongozi wa dini, jumuiya ya kimataifa, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wananchi wote katika...
PRIME ACT Wazalendo yabeba jahazi muungano wa vyama, vikwazo vyatajwa Amesema hatua ya pili ni kuanzisha vuguvugu kubwa la pamoja la umma kupitia mikutano ya hadhara na maandamano.
PRIME Ukata unavyoliandama Bunge la Afrika Mashariki,Spika alia Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Ajak, uamuzi huo umefikiwa baada ya kikao cha Kamisheni ya Eala na viongozi wa kamati kilichofanyika Februari 6, 2025.
Wakuu wa nchi EAC, SADC waazimia mapigano yasitishwe DRC Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) wamepitisha azimio la pamoja la kutaka mapigano yasitishwe ndani ya Jamhuri ya...
Viongozi EAC, SADC walivyozungumzia kutatua mgogoro DRC Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote zinazohusika katika mgogoro unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya...
Viongozi kampuni za AKDN waahidi kuendeleza maono ya Mtukufu Aga Khan Viongozi wa Kampuni zilizo chini ya Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) wameapa kuendeleza maono ya Mtukufu Aga Khan IV katika taasisi wanazoziongoza ili kusaidia jamii na kuchochea maendeleo.
Wakurugenzi wastaafu MCL wanavyomkumbuka Mtukufu Aga Khan Watendaji wakuu wastaafu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) wamemwelezea aliyekuwa kiongozi mkuu wa madhehebu ya Ismailia duniani, Mtukufu Aga Khan kama kiongozi aliyetumia...