Mzazi asimulia alivyomwokoa mwanawe mwenye ualbino dhidi ya ukatili
Uvumi na mfululizo wa vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ualbino, umeisababishia familia ya mtoto, Nurudin Bakari mwenye hali hiyo, kufunga safari kutoka Mkoa wa Mwanza hadi Pwani, kwa ajili...