Wahukumiwa kifo uvamizi CRDB, DCB na mauaji ya walinzi Suma JKT
Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imewahukumu adhabu ya kifo, watu wawili waliovamia Benki mbili za CRDB na Benki ya Biashara ya DCB za jijini Dar es Salaam na kuua watu watatu kwa...