Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1436 results for Janeth Joseph :

  1. Mkaguzi wa ndani Korogwe azikwa, mama asimulia alivyomsubiri

    Kamanda Muchunguzi amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuwatafuta wa husika wa tukio hilo.

  2. Mama anayedaiwa kuuawa na mwanawe akigombea mali azikwa

    Paroko wa Parokia ya Mawela, Patrick Soka akemea ulevi, tamaa ya mali.

  3. Ofisa kilimo Moshi atupwa jela kwa kumjeruhi binti wa kazi

    Akitoa hukumu Septemba 20, 2024 hakimu Mkisi alisema baada ya mahakama kujiridhisha pasi na shaka na ushahidi uliotolewa mahakamani, mshitakiwa alitiwa hatiani kwa kutenda kosa hilo na kuhukumiwa.

  4. Adaiwa kumuua mama yake akigombea mali za marehemu baba yake

    Adela Mushi (74), mkazi wa Okaseni, kata ya Uru kusini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na kisha kukatwa na shoka sehemu ya usoni na mwanaye, anayedai mali...

  5. Hatimiliki za ardhi kupunguza migogoro Tarakea

    Wakati Serikali ikitoa hatimiliki za ardhi zaidi ya 250 kwa wananchi katika mji wa Tarakea, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, wananchi hao wameishukuru Serikali huku wakieleza kwamba itapunguza...

  6. Aliyeua kisa Sh3,000 ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Kigoma, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Sudy Omary baada ya kumkuta na hatia ya kumuua Joseph Misigaro.

  7. Kada wa CCM anayedaiwa kumwagiwa tindikali ahamishiwa KCMC

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe (38), anayedaiwa kumwagiwa kimiminika kinachosadikiwa kuwa ni tindikali, amehamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...

  8. Kada CCM adaiwa kumwagiwa tindikali Moshi

    Kupitia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Idrissa Makishe ambaye ni dereva wa bodaboda amedai tukio hilo lilitokea usiku wa Septemba 20, 2024.

  9. Dk Chami azikwa kijijini kwao Urori, Hai

    Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi mwili wa Dk Dismas Chami ulikutwa eneo la Kombo Masai, Kata ya Malolo mkoani Tabora

  10. Samia awatunuku wastaafu Polisi muda, yumo WP 3 Tanzania

    Rais Samia ametoa tuzo hizo leo Jumanne, Septemba 17, 2024 katika maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi nchini

Previous

Page 52 of 144

Next