Trafiki waliodaiwa kuchezea mashine wafutwa kazi Aidha amesema askari hao walishtakiwa kijeshi na wakapatikana na hatia na hivyo Julai 8, 2024 walifukuzwa kazi na kufutwa jeshini.
PRIME Mapya sakata la kutoweka muuguzi KCMC Amesema tukio la kutoweka kwake limewapa mashaka makubwa na kuviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kujua alipo ndugu yao huyo.
Kukosekana kwa maandishi ya DPP kwamuacha huru aliyehukumiwa miaka 20 jela Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu iliyomtia hatiani Kelvin Kimbila kifungo cha miaka 20 jela kwa kukutwa na vipande 15 vya nyama ya ngiri.
Safari ya milima, mabonde Padri Louis akitimiza miaka 105 Moshi. Wakati Padri Luois Shayo wa Jimbo Katoliki la Moshi, mwafrika wa kwanza kuwa Paroko wa jimbo akitimiza miaka 105 ya kuzaliwa, amesema kuishi kwake ni siri ambayo Mungu ameificha katika...
Mwenye nyumba amsimulia muuguzi wa KCMC aliyetoweka Mwakalinga anasema Jumatano Julai 2, muuguzi huyo alirudi nyumbani saa mbili usiku wakati yeye alikuwa analisha mifugo yake nje, alimsalimia na akaingia ndani kama ilivyokuwa kawaida yake.
PRIME Vifo, kutoweka watumishi sekta ya afya vyaibua hofu Mwishoni mwa wiki, mwili wa aliyekuwa mfamasia katika Kituo cha Afya Isansa wilayani Mbozi, Daudi Kwibuja, pia ulikutwa kando mwa barabara ya Tunduma – Mbeya, eneo la Mlowo ukiwa umejaa majeraha...
Rombo sasa kulima migomba kwa matone Rombo. Wataalamu zaidi ya 25 kutoka Wizara ya Kilimo wanatarajiwa kupiga kambi katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kutoa elimu ya namna bora ya kuzalisha zao la ndizi kwa kutumia...
Maji yaliyoibuka chini ya ardhi yazua taharuki Moshi Eneo karibu lote lilizingirwa na maji na Serikali ikaagiza wataalam wa miamba kupiga kambi katika eneo hilo ili kunusuru jengo hilo lisimezwe na maji.
Mamia ya waombolezaji wajitokeza kuwaaga wanne wa familia moja Mamia ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamefurika kwenye mazishi ya ndugu watatu kati ya wanne wa familia moja waliofariki kwa ajali ya gari wakitokea...
Malisa ataka kesi yake ipelekwe mahakamani Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa ameendelea kuripoti katika ofisi za Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kilimanjaro (RCO) kutokana na tuhuma za uchochezi zinazomkabili.