Aliyebeba kibuyu tukio la Muungano azikwa, Shoo ataka umakini kwenye elimu
Wakati Sifael Shuma (92)aliyekuwa mmoja wa vijana wanne walioshiriki tukio la kuchanganya udongo, Aprili 26,1965,akizikwa nyumbani kwake Machame, Wilaya ya Hai, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya...