Siku 141 za Dk Magunguruwe gerezani, upelelezi waendelea
Mkurugenzi wa kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe, anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, anaendelea kusota rumande kwa siku 141 sasa kutokana na...