Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Mwenyekiti wa kijiji mbaroni kwa madai ya kumpa ujauzito mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlangoni, Wilaya ya Siha mkoani humo, Ezekiel Mloli kwa madai ya kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne katika moja...

  2. Asilimia 75 ya wanawake K’njaro, Arusha hawali mboga na matunda vya kutosha

    Profesa Kinabo amesema, baadhi ya matatizo mengi ya kiafya yanayotokea katika jamii yanatokana na upungufu wa virutubisho vya vitamini na madini ya chuma kutokana na desturi ya watu kutokula...

  3. PRIME Mmoja afariki kwa kusombwa na maji akivua, mvua ikiacha kilio

    Soma zaidi hapa...

  4. Anayedaiwa kutapeli watalii kupitia mitandao atiwa mbaroni 

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Musa Mushi (40), kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutapeli watalii...

  5. Dalali wa Mahakama akamatwa, agizo la Dk Mwigulu halijatekelezwa

    Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za mfanyabiashara wa Arusha, Josephine Shirima, mali hizo bado hazijarudishwa huku Jeshi la Polisi...

  6. Ukatili wa kijinsia watajwa chanzo baadhi ya wanawake kuishia gerezani

    Imeelezwa kuwa baadhi ya wanawake wanaojikuta wakihukumiwa vifungo mbalimbali gerezani, chanzo chake ni vitendo vya ukatili wa kijinsia wanavyofanyiwa katika jamii, hali inayowafanya baadhi yao...

    New Content Item (4)
  7. PRIME Mvua ilivyoua watano, kukata mawasiliano

    Soma zaidi hapa...

  8. Serikali yafungia kadi 12,000 za bima ya afya kwa udanganyifu

    Serikali imezifungia zaidi ya kadi 12,000 za huduma za bima ya afya na kusitisha huduma katika vituo zaidi ya 33 vya kutolea huduma za afya, baada ya kubainika kuwapo kwa udanganyifu katika...

  9. Wastani wanawake wanne hukatwa matiti kila wiki KCMC

    Wakati takwimu zikionesha kuwa asilimia 14.4 ya wanawake nchini wanaugua saratani ya matiti, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC, imesema baadhi yao hufika wakiwa katika hatua ya tatu...

  10. Mbunge aeleza chanzo cha ajali yake msafara wa PM

    Mbunge wa Moshi Mjini (CCM), Ibrahim Shayo amesema ajali aliyopata Februari 18, 2026 haikuhusisha mkono wa mtu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakidai.

Previous

Page 7 of 144

Next