Kamati yaitaka Wizara ya Maji kuongeza usimamizi wa miradi
Kwa mujibu wa Kaduara, kati ya kiasi hicho, Sh2.438 bilioni ni kwa matumizi mengineyo, Sh2.920 bilioni kwa mishahara, Sh10.110 bilioni ruzuku ya mishahara na Sh205.356 bilioni kwa miradi ya...