Malaika na Hip Hop ya Fid Q ni samaki na maji Ni wazi Malaika ni miongoni mwa waimbaji wa kike waliojitokeza kwenye Bongofleva na kufanya vizuri kwa kiasi fulani, ana heshima na historia yake aliyojitengenezea kwenye muziki huo ingawa ni kwa...
Rekodi zipo hivi Abigail Chams akiwania BET 2025 HATIMAYE Tanzania imepata mwakilishi tena katika tuzo za BET baada ya kukosa kwa misimu mitatu mfululizo, Abigail Chams ndiye ametajwa kuwania tuzo hizo kubwa za muziki duniani kwa mwaka huu...
MUSIC FACT: Chanzo cha bifu la Daz Nundaz na Solid Ground Family KWA wakati wake Daz Baba alitengeneza nyimbo kubwa zilizofanya vizuri akiwa na kundi la Daz Nundaz na hata aliposimama pekee bado alizidi kuuwasha moto na hadi sasa ni miongoni mwa walioleta...
Tuhuma za ubakaji zilivyomkosesha Jay Z mamilioni ya dola Licha ya kesi ya ubakaji iliyokuwa inamkabili Jay Z kutupiliwa mbali tangu Februari, bado rapa huyo anadai haki yake ambapo wiki hii mawakili wake wamewasilisha kesi huko Alabama wakidai mteja...
PRIME Mambo matatu ya Kajala kwa Harmonize Hilo limemfanya Kajala kuwa na rekodi tatu za kipekee kwa Harmonize ukilinganisha na warembo wengine ambao wamewahi kuwa na mwimbaji huyo anayefanya vizuri na kibao chake kipya, Furaha (2025).
Rama Dee, Rich Mavoko, Alikiba kwenye ndoto moja Ni wazi kuwa sauti yake, melodi, uandishi na swaggs zake katika uimbaji ni kati ya mambo yanayofanya Rama Dee kuwepo katika orodha ya waimbaji wakali wa RnB Bongo kwa muda wote
Kwa hili, bila Wizkid hakuna Diamiond Ni miaka mitano imepita tangu Diamond Platnumz kutoa wimbo wake, Jeje (2020) unaoendelea kufanya vizuri na kumpa heshima ya kipekee staa huyo wa Bongofleva na mwanzilishi wa WCB Wasafi iliyowatoa...
Mary Blige aburuzwa mahakamani Malkia wa Hip Hop Soul na RnB Marekani, Mary J. Blige (54) ameshtakiwa na aliyekuwa mwanamitindo wake, Misa Hylton kwa madai ya kumkosesha mamilioni ya fedha kufuatia kuingilia na kutibua mipango...
Wasanii Bongo wanaigana hadi inaboa HIVI karibuni nilikuwa nikisikiliza nyimbo mpya za Nandy, No Stress (2025) na Harmonize, Furaha (2025), nikagundua tatizo la wasanii wengi Bongo kuigana katika utunzi wa nyimbo na namna...
Jay Z, Beyonce hiyo miaka 17 kama jana Imetimia miaka 17 tangu Jay Z, 55, na Beyonce Knowles, 43, kufunga ndoa Aprili 4, 2008, hadi sasa harusi yao ni moja ya mambo yanayojadiliwa sana kutoka katika familia hiyo ya The Carters...