VIDEO: Kigogo Chadema ajipanga kupigania sheria ya wazee
Amesema Sera ya Wazee imekuwepo tangu mwaka 2003, sasa miaka 22 imepita sheria hiyo ikiwa bado haijatungwa, ndiyo maana anaona wazee wakiendelea kudhalilika, kuuawa, kutotendewa haki, kukosa...