Wanaotoa mikopo umiza ujumbe wenu huu hapa Serikali imezitaka kamati za ulinzi na usalama kuwachukulia hatua kali wale wanaotoa mikopo bila kuwa na leseni, pamoja na kuwanyang’anya leseni hizo wote wanaotoa mikopo bila kuzingatia masharti...
Polisi wadai wezi wa n’gombe Geita ni wafungwa waliomaliza vifungo Matukio ya wizi wa ng’ombe yalishamiri mwaka 2023/2024 lakini Jeshi la Polisi lilifanya msako na kuwakamata wahusika wa matukio hayo ambao walishtakiwa kwa vipindi tofauti na sasa inadaiwa...
Ajinyonga baada ya kupata sifuri matokeo kidato cha nne Kamanda amesema chanzo cha kifo hicho ni binti kupata sifuri na alichukua uamuzi huo baada ya kusikia mama yake akimwelekeza mdogo wake aende akaangalie matokeo ya dada yake na aliposikia hivyo...
Kero ya wavuta skanka, bangi kwa wanafunzi shule za Geita Baraza la Madiwani Manispaa ya Geita limekerwa na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na vikundi vya vijana wahalifu kujificha eneo lililotengwa kwa ajili ya uwekezaji Kata ya Bombambili kuvuta...
Kikwete akemea kauli za uchochezi Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema machafuko na vita vinavyoendelea katika mataifa mengine iwe somo kwa Watanzania kuepuka maneno ya uchochezi yanayotolewa na wanasiasa wasiotaka kulinda na...
Waume wadaiwa kutegesha wake zao wafumaniwe kujipatia kipato Baadhi ya wame wilayani Bukombe Mkoa Geita wamedaiwa kutegesha wake zao kwa wanaume wengine kwa lengo la kufanya fumanizi na kudai fedha.
Geita yatajwa kusuasua uibuaji wagonjwa wa kifua kikuu Mkoa wa Geita umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa tisa yenye uibuaji mdogo wa wagonjwa wa kifua kikuu (TB) kwa mwaka 2024, ambapo asilimia 11.46 ya waliolengwa, hawakuibuliwa hivyo kuendelea...
Jamii yakosa imani usikilizwaji kesi kwa njia ya mtandao, elimu yahitajika Kutokana na uelewa huo mdogo wa jamii, wadau hao wameiomba Mahakama kutoa elimu zaidi ili kujenga imani hususan kwa watuhumiwa ambao kesi zao zinasikilizwa kwa njia ya mtandao.
Uzembe wasababisha ndoo 18 za rangi kuharibika kwa kukosa malipo ya fundi Geita. “Hakuna zaidi ya uzembe, kilichofanyika ni uzembe.” Hii ni kauli ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita, Azza Mtaita aliyoitoa akielezea mkwamo wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Isabageni...