Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1938 results for Tatu Mohamed :

  1. Nyerere aenziwa, wafungwa 4,887 wapata msamaha

    Rais katika maadhimisho hayo ambayo kwa mwaka huu yamefanyika katika ngazi ya mikoa, pia ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887.

  2. Profesa Kabudi aeleza sababu za kuandikwa kitabu cha Nyerere

    Amesema wazo la kuandika na kuchapisha kitabu hicho lilianza mwaka 2014, baada ya kubaini hakuna cha mezani chenye kusimulia kupitia picha maisha na mchango wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, kwa...

  3. Mayele aipeleka Pyramids fainali CAFCL, Mamelodi yaivua ubingwa Ahly

    Ni mchezo ambao Pyramids FC ililazimika kusawazisha mara mbili baada ya kutanguliwa kufungwa mabao na baadaye ikapata bao la ushindi kupitia Mayele.

  4. PRIME Uvamizi miundombinu ya mwendokasi mfupa mgumu

    Licha ya kuzuiwa kufanya biashara ndani ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (Udart), wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wameendelea kuvamia vituo na njia za mabasi hayo, wakifanya...

  5. Simba yaichapa Stellenbosch, hesabu zinakubali

    Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, Simba bado ina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya fainali ya kombe...

  6. PRIME Kikwete anavyopasua anga kumnadi Janabi

    Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameonekana akizunguka katika nchi kadhaa za Afrika akimnadi Profesa Mohammed Janabi, anayewania nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO),...

  7. Tamisemi kutekeleza mambo 14 bajeti 2025/26

    Kukuza demokrasia, kusimamia shughuli za utawala bora, ushirikishwaji wa wananchi na ugatuaji wa madaraka kwa umma ni baadhi ya vipaumbele vitakavyotekelezwa kwa fedha hizo 2025/26.

  8. PRIME 'Kama la ugaidi liliwezekana, kwa nini la uhaini lisiwezekane'

    Nianze kwa kueleza kuhusu makosa mawili makubwa kabisa katika Katiba yetu, kosa la kuua na kosa la uhaini, ambayo yote hupewa adhabu ya kifo, yaani capital punishment.

  9. CCM yapangua ratiba uchukuaji fomu ubunge, uwakilishi na udiwani

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mabadiliko ya ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuwania udiwani, uwakilishi na ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

  10. Mikakati mipya ya Zipa kuifungua Pemba kiuchumi

    Akielezea hali ya uwekezaji visiwani humo, Mohamed amesema kwa kipindi cha miaka mitano, Zipa imesajili miradi 480 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 6 (Sh16.1 trilioni).

Previous

Page 7 of 194

Next