Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Polisi waendelea kumng'ang'ania Malisa

    Amesema licha ya Malisa kuumwa bado anaendelea kushikiliwa katika kituo hicho na hajapewa dhamana wala kupelekwa mahakamani, licha ya saa 24 kupita tangu akamatwe.

  2. Bibi  wa miaka 77 auawa kwa kukatwa shingo

    Mwenyekiti wa kijiji hicho, Wilfred Sekei amedai kuwa mtuhumiwa huyo alimwambia Jenny waende kuokota kuni za kupikia chai ya jioni.

  3. CCM yawapongeza Mbowe, Lissu kuongoza maandamano

    Amesema Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza demokrasia ndani na nje ya chama, ikiwemo kuruhusu maandamano ya Chadema ambayo yanachochea uhuru wa wananchi.

  4. Apewa figo na dada yake, akosa Sh50 milioni kuipandikiza

    Amesema imefikia mahali familia haina uwezo tena wa kumsaidia baada ya mali na fedha walizokuwa nazo kutumika kwenye matibabu ya kusafisha damu.

  5. Watu sita mbaroni wakituhumiwa kukutwa na meno ya tembo 12

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema watuhumiwa wanne walikamatwa Mei 30, 2024 na vipande vya meno ya tembo vikiwa ndani ya mifuko miwili ya salfeti.

  6. PRIME Mkondo wa maji chini ya ardhi waibua hofu Moshi

    Maji yafumuka yaathiri makazi ya watu, barabara.

  7. Anayedaiwa kuuawa na mkewe azikwa na mapadri zaidi ya tisa

    Msele ameacha watoto saba, wakiwemo watoto sita wa mke wa ndoa na mmoja wa mwanamke ambaye alikutwa naye kabla ya umauti.

  8. Wawili waenda jela maisha kwa kusafirisha mirungi 

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Kanda ya Moshi, imewahukumu kifungo cha maisha jela, Abdalah Halfan Mkwizu na Samwel Eliud Lyakurya wakazi wa Rombo...

  9. PRIME Aliyembaka, kumuua mtoto wa miaka nane ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo ya Manyara iliyoketi Mbulu imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Dumbeta, Paskali Qamara kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumuua...

  10. Mzee aliyedaiwa kupelekwa mochwari akiwa hai, afariki

    Ni tukio la kutatanisha. Hii ni baada ya mzee mmoja aliyejulikana kwa jina la Saimon Macha kudaiwa kwamba jana akiwa hospitalini KCMC alikokuwa amelazwa, alikufa na baadaye akabainika kuwa bado...

Previous

Page 61 of 144

Next