Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

428 results for Ephrahim Bahemu :

  1. PRIME Mikopo ilivyo mwiba nchi za Afrika Mashariki

    Kwa sehemu kubwa bajeti za kulipa madeni katika nchi hizo ama zimezidi au kukaribia nusu ya mapato yanayokusanywa na nchi hizo, hali inayoziweka njiapanda katika utekelezaji wa miradi yake ya...

  2. Ifahamu Meli ya Hospitali ya Ark Peach inayotarajiwa nchini

    Dar es Salaam. Meli ya Hospitali ya Ark Peace inatarajia kutia nanga katika Bandari ya Dar es salaam mwanzoni mwa wiki ijayo kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu wa watu wenye matatizo ya afya...

  3. PRIME Maghorofa Dar yashuka bei, kiini chatajwa

    Kama ilikuwa kiu yako kuwa na ofisi au makazi katika ghorofa na gharama kubwa ya kodi ya pango ndiyo iliyokuwa kikwazo, pengine huu ni wakati mzuri wa kutimiza ndoto yako.

  4. Benki Kuu kununua tani sita za dhahabu

    Dk Kayandabila amesema tangu BoT ianze utaratibu wa kununua dhahabu mpaka sasa imenunua kilo 418, lakini imedhamiria kutunisha akiba ya madini hayo kama ambavyo Serikali imedhamiria.

  5. Mambo manne yatajwa kumaliza migomo ya wafanyabiashara Tanzania

    Wadau wa biashara na wanasiasa, wametaja mambo manne ambayo Serikali ya Tanzania ikiyatekeleza kwa ufanisi huenda ikapunguza changamoto ya migomo ya wafanyabiashara inayojitokeza mara kwa mara...

  6. Ripoti: Tanzania inakopesheka vizuri

    Wakati kukiwa na hofu juu ya mwenendo wa deni la Serikali, ripoti ya Taasisi ya kimatiafa ya inayojihusisha na ufanyaji tathmini kwa nchi kujua uwezo wake wa kukopesheka, Fitch Rating, inaeleza...

  7. Asilimia 30 bajeti ya Serikali itategemea mikopo, misaada

    Wakati Serikali ikitarajia kupata na kutumia Sh49.3 trilioni katika mwaka wa fedha 2024/2025, jambo ambalo wengi wanaweza kujiuliza fedha hizo zitatoka wapi?

  8. Wadau wafunguka matamanio yao bajeti ya Serikali 2024/25

    Bajeti ya Serikali inatarajiwa kusomwa bungeni kesho Juni 13, 2024, ambapo wadau wametaja matamanio yao

  9. Wadau washauri njia mbadala upatikanaji huduma za intaneti, Nape ajibu

    Haya yanajiri ikiwa zimepita takribani siku kumi tangu lilipotokea tatizo la intaneti lililodumu kwa takribani siku mbili kuanzia Mei 12, 2024 na kusababisha adha kubwa kwa watumiaji wa huduma hiyo

  10. Balozi wa Marekani atoa tahadhari ongezeko la watu Tanzania

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle ametoa tahadhali ya ongezeko la idadi ya watu nchini akisema linaweza kuwa neema au kinyume chake, huku akisisitiza juu ya umuhimu wa teknolojia...

Previous

Page 8 of 43

Next