Walioingilia mfumo ya benki, kujipatia Sh2 bilioni wakosa dhamana
Raia wa Ghana, Valentine Kofi (45) na Watanzania watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa benki na kuiba...