Janabi ataja vipaumbele vyake WHO, akisisitiza Azimio la Abuja
Mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Afrika, Profesa Mohammed Janabi, amewasilisha maono yake kwa nafasi hiyo, akisisitiza dhamira yake ya...