Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. KCMC kuanza kutoa matibabu ya moyo rasmi 2027

    Wakati tafiti zikionesha asilimia 30 ya watu wanaougua matatizo ya moyo wanatoka Kanda ya Kaskazini, Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro imepanga kutumia Sh25 bilioni kujenga kitengo cha...

  2. Waongoza watalii watakiwa kuchukua tahadhari

    Amesema wanaendelea kuhakikisha shughuli za utalii zinaendelea kama kawaida, kwani watalii wametoka mbali kuja kufurahia maeneo haya ya utalii.

  3. Pacha wa kike waliojijengea umaarufu kwa kazi ya upagazi Mlima Kilimanjaro

    Pacha Enjolight na Heavenlight Mafuwe (33), wakazi wa Kijiji cha Uduru, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameondoa dhana kwamba kazi ngumu, hususan zinazohitaji msuli na ustahimilivu ni za...

  4. Wakulyamba, Nyamhanga, Shilogile waagwa kwa gwaride rasmi

    Makamishna walioagwa ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, pamoja na Makamishna Albert Nyamhanga na Faustine Shilogile.

  5. Mafuriko ya mvua yaziacha kaya 14 bila makazi Moshi

    Kaya 14 zenye jumla ya watu 39 katika Mtaa wa Viwanda, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua...

  6. Kichanga chaokotwa kikiwa kimefariki Njoro, wananchi walaani

    Katika hali ya kusikitisha, kichanga cha kike kimeokotwa kikiwa kimetelekezwa katika eneo lisilo na makazi ya watu, mtaa wa Viwanda, kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi.

  7. Kuelekea siku ya wanyamapori miti zaidi ya 2,700 yapandwa Arumeru

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanyamapori duniani yanayofanyika kila mwaka, Machi 3, Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wameendelea na wiki maalum ya shughuli za uhifadhi wa...

  8. Mfanyabiashara Arusha aendelea kushikiliwa, Bunge laombwa idhini

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi, huku jitihada za kumpata mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Morris Makoi, zikitarajiwa...

  9. PRIME Aliyeshtakiwa kwa mauaji ya bodaboda aachiwa

    Soma zaidi hapa...

  10. KNCU yaanza kulipa madeni ya vyama vya msingi Kilimanjaro

    Moshi. Zikiwa zimepita siku saba baada ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuagiza Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) kuuza moja ya mali zake ili kulipa deni la zaidi ya Sh400...

Previous

Page 8 of 144

Next