Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

412 results for Peter Akaro :

  1. Mfahamu Miss Ukraine aliyepambana na Urusi 

    Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lenna mnamo Machi 2022 aligonga vichwa vya habari ulimwengu mara baada ya kuweka wazi ataingia vitani kuisaidia nchi yake dhidi ya uvamizi wa Urusi kwa kile...

  2. Harmonize apindua meza, ajipanga upya kwa mashambulizi

    Mwimbaji wa Bongo Fleva, Harmonize ameimarisha rekodi lebo yake ya Konde Music Worldwide kwa kuongeza watendaji kadhaa akiwemo Sandra Brown ambaye aliwahi kuwa meneja wa Mbosso pindi tu...

  3. AY kuanzia kwa Lady Jaydee, Mis. Triniti hadi Mimi Mars

    Hadi sasa AY ni kati ya wasanii walioacha alama katika Bongofleva, muziki alioutumikia kwa miaka zaidi ya 20 na kufungua milango ya kuupeleka kimataifa kwa kushirikiana na wasanii wakubwa.

  4. Mama Beyonce aeleza vimbwanga vya mumewe

    Mama mzazi wa mwanamuziki Beyonce, Tina amefunguka jinsi ndoa yake na aliyekuwa mume wake, Mathew Knowles ilivyokuwa na migogoro mingi iliyochochewa na usaliti hadi mwisho wa siku wakafikia hatua...

  5. Je, Priscilla ataondoa kivuli cha Vanessa kwa Jux?

    KWA namna harusi ya Jux na Priscilla ilivyoenda huko Nigeria, baadhi ya mashabiki wake wanadai sasa nyoyo zao zimeridhika kwa kile wanachotaja kama kulipwa kisasi kwa aliyekuwa mpenzi wa...

    JUX Pict
  6. Hata kina Beyonce, Rihanna wana lebo zao

    Tofauti na Tanzania, rekodi lebo nyingi za wasanii hasa nje ya bara la Afrika, zimekuwa na utamaduni wa kuingia makubaliano ya kufanya kazi na lebo kubwa ambazo zina wingo mpana wa kusambaza kazi...

  7. Sababu ya Jay Moe kufanya kazi nyingi na Ngwea 

    Kwa miaka zaidi ya 20 katika muziki, Jay Moe amejizolea sifa kama rapa mwenye uwezo mkubwa wa kuandika mambo ya kufikirisha na kuchana katika mtindo unaovutia na kushawishi kusikiliza kwa muda mrefu

  8. Tanasha alivyoacha maswali kwa mashabiki wake

    Baada ya kuachana na Diamond Platnumz tu polepole, Tanasha Donna alianza kushuka kimuziki na sasa hasikiki kabisa, na hilo linaacha swali iwapo staa huyo wa WCB Wasafi aliondoka na nyota yake...

  9. Marioo, Rayvanny na vita ya mapenzi!

    Ingawa haizungumzwi sana kama ilivyo kwa Alikiba na Diamond Platnumz, ila unapaswa kujua kuwa kuna mpambano mkali sana tena wa chini kwa chini kati ya mastaa wawili wa Bongofleva, Marioo na...

  10. Mambo si shwari kwa Justin Bieber

    Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mwanamuziki wa Canada, Justin Bieber (31) anayefanya shughuli zake nchini Marekani kuendelea kuandamwa na mambo ambayo yanatishia hatima ya sanaa yake na kuleta...

Previous

Page 8 of 42

Next