Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1067 results for Peter Elias :

  1. PRIME Othman atangaza nia kugombea urais Zanzibar

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwenye uchaguzi mkuu ujao endapo chama chake kitaridhia na kumpa jukumu hilo ili awasaidie Wazanzibari.

  2. PRIME Matukio haya kutikisa siasa za Tanzania 2025

    Mwaka 2025, kwenye uga wa siasa nchini, utakuwa na matukio mengi ambayo yaanza kurindima kuanzia Januari hii, huku historia ikitarajiwa kuandikwa kupitia matukio hayo ambayo kwa namna moja au...

  3. 2025 ni mwaka wa uchaguzi Afrika

    Wakati ulimwengu ukiupokea mwaka mpya 2025, mataifa 10 ya Afrika, ikiwemo Tanzania, yanatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu kuchagua viongozi watakayoyaongoza kwa mujibu wa katiba zao.

  4. Hali tete Msumbiji, Tanzania yakaa mguu sawa

    Tangu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 9, 2024, yaliompa ushindi mgombea wa chama tawala cha Frelimo, Daniel Chapo, wananchi wamekuwa wakiandama wakipinga ushindi huo.

  5. Kamati Kuu Chadema yakutana katikati ya joto la uchaguzi

    Chama hicho kinaendelea na uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi kwenye kanda ambapo hadi sasa, tayari uchaguzi umefanyika kwenye kanda nane kati ya 10, hivyo zimebaki mbili ambazo wagombea...

  6. PRIME Lowassa, Mwinyi walivyoliachia Taifa majonzi na simanzi

    Mvuto wa Lowassa ulidhihirika zaidi wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, ambapo aligombea urais ndani ya CCM lakini jina lake lilikatwa, jambo lililowakera wajumbe wa mkutano mkuu huo ambao...

  7. Usiyoyajua kuhusu mwanamuziki Barnaba

    KATIKA miaka yake zaidi ya 18 katika muziki, Barnaba amekuwa akisifika kwa utunzi mzuri na uimbaji wenye kushawishi kitu kilichompatia mashabiki wengi na kuwa na nguvu ya kuendelea kufanya kazi...

  8. PRIME Chadema yajibu kauli za Lissu, Dk Slaa

    Japo ufafanuzi wa Chadema haukutaja waliotoa hoja hizo zinazojibiwa, lakini inafahamika kuwa Tundu Lissu ameibua hoja ya kugawana madaraka maarufu kwa jina la nusu mkate na madai ya rushwa ndani...

  9. Ligi Kuu imesimama na utamu wake

    Hadi inasimama, kuna timu ambazo zilikuwa zimeshaanza kucheza mechi za raundi ya 11 huku nyingi zikiwa zimecheza raundi 10.

  10. Viongozi wa dini watakiwa kusimamia ukweli, kutokuwa waoga

    Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kusema ukweli kuhusu mambo yanayotokea katika jamii kwa kuwa wao wanaaminiwa na Watanzania, hivyo wasiogope kutishwa.

Previous

Page 8 of 107

Next