Tusifumbie macho tatizo la vifaatiba kutotumika, kisa umeme
Wakati Serikali ikifanya juhudi za kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora karibu kwa kujenga vituo, kuajiri watumishi na kuhakikisha dawa zinapatikana, wapo wanaosababisha wananchi waendelee...