Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1938 results for Tatu Mohamed :

  1. PRIME Kabla hujabadili tahasusi, zingatia haya

    Mwananchi linajaribu kuangazia nukta muhimu za kuzingatia kwa wanafunzi wanaotaka kubadili tahasusi na kozi, mchakato ambao Serikali inasema utakamilika Aprili 30.

  2. Walioshtakiwa kwa kusafirisha kilo 221.43 za bangi waachiwa huru

    mshtakiwa wa pili (Mohamed) alikiri kumiliki pikipiki MC 695 DNU pamoja na shehena yake, na mshtakiwa wa kwanza (Rajab) alikiri kumiliki pikipiki MC 919 DFY, huku Peter (mshtakiwa wa...

  3. Liverpool bado mechi mbili, Man United, Spurs zaambulia vipigo

    Baada ya kuchomoza na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya West Ham United katika mwendelezo wa Ligi Kuu England, Liverpool sasa ina kibarua chepesi iwe bingwa ikihitajika kushinda mechi mbili tu kati...

  4. PRIME Wiki ya moto kwa Mchengerwa, mzigo wa hoja wamsubiri bungeni

    Patachimbika bungeni, ndivyo unavyoweza kusema wakati wabunge wakiwa kwenye kipindi cha lala salama, watakapoichambua bajeti ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...

  5. Hekaheka saa 72 barabara Dar- Kusini ilivyokatika na kurejeshwa

    Zaidi ya saa 72 zimetumika kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini iliyokatika Aprili 6, 2025 kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.

  6. PRIME Aliyembaka, kumlawiti mama yake na kumsababishia kifo ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu Clemence Mendrad, kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mama yake mzazi, Rose Augustino.

  7. Matarajio ya wadau ziara ya Rais Samia Angola

    Kuimarisha ushirikiano, kukuza biashara, mustakabali wa kinachoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini...

  8. PRIME Safari ya maridhiano Lissu, Mbowe yaanza

    Kwa mujibu wa Mohamed, tofauti iliyopo inasababishwa na kundi linalounga mkono ajenda ya ‘No reforms, no election’ na lile linaloipinga.

  9. PRIME Samia atua zigo nafasi ya Jaji Mkuu

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika.

  10. Namba sita zinavyomfanya De Bruyne aondoke kibabe Man City

    De Bruyne anaondoka Manchester City akiwa ameacha kumbukumbu ya kipekee ambayo imeainishwa na namba sita tofauti.

Previous

Page 8 of 194

Next