Watatu kortin wakituhumiwa kumuua ndugu yao Mkazi wa Bagamoyo, Fred Chaula (56) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya kumuua ndugu yao, Regina Chaula (62).
PRIME Masalia mwanamke aliyeteketezwa na mumewe kuzikwa Jumamosi Familia ya mwanamke aliyeuawa na mumewe na kisha mwili wake kuteketezwa kwa moto Kigamboni jijini Dar es Salaam, Naomi Orest Marijani, imetoa ratiba ya mazishi ya mpendwa wao.
Waliozamia Afrika Kusini wahukumiwa kulipa faini Sh30,000 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya Sh30,000 kila mmoja au kwenda jela miezi mitatu baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini Tanzania na kwenda...
Upelelezi kesi ya ‘bwana harusi’ wakamilika Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara Vicent Masawe (36), ‘bwana harusi’, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu, upelelezi wake kukamilika.
Wakili akwamisha kesi ya Bwana Jela kughushi msamaha wa Rais Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Josephat Mkama na wenzake wawili, imekwama kuanza kusikilizwa.
Mahakama kutoa uamuzi kesi ya bosi wa Jatu, Machi 14 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Machi 14, 2025 kutoa uamuzi wa ama kumuondolea mashitaka na kumfutia kesi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya(33) au kuendelea na kesi...
Upelelezi kesi mpya ya Boni Yai bado, Serikali yasubiri... Serikali imeieleza Mahakama bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili Meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.
Mahakama yamuonya Malisa kutofika mahakamani Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu imemuonya mwanaharakati Godlisten Malisa, ambaye anashiriki katika kesi ya jinai pamoja na meya mstaafu, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.
Mwanafunzi kortini kwa kuchezea picha ya Nyerere Amesomewa mashtaka hayo, wakili wa Serikali Erick Kamala, mbele ya hakimu Mkazi Mkuu, Gwantwa Mwankuga.
Kesi ya jengo Kariakoo yafikisha siku 71, bila upelelezi kukamilika Mdete na wenzake wanakabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia katika kesi ya mauaji namba 33633/2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.