Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1263 results for Herieth Makwetta :

  1. Kodi yachangia asilimia 56 ya mapato, Dar ikikwama ukusanyaji

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema makusanyo yote ya kodi yalichangia asilimia 56 ya mapato yote ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24.

  2. ‘Kiwanda cha dawa Keko, Shirika la Posta, Bodi ya Chai wapata hati mbaya, zenye shaka’

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania, Charles Kichere ameyataja mashirika manne ya umma yaliyopata hati zenye shaka na hati mbaya katika ripoti yake ya mwaka wa fedha...

  3. Deni la Serikali lafikia Sh97.35 trilioni

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania, Charles Kichere amesema deni la Serikali limeongezeka kufikia Sh97.35 trilioni Juni 30, 2024 kutoka Sh82.25 trilioni kwa mwaka...

  4. PRIME Umuhimu wa kubadilisha shuka kila baada ya wiki moja

    “Kufua shuka mpaka nione linabadilika rangi, kitu pekee ninachoheshimu ni foronya ya mto hiyo baada ya siku kadhaa huwa nahisi inatoa harufu, kwa kuwa huchafuka haraka kuliko shuka,” hiyo ni...

  5. Rais Samia afanya uteuzi, Matinyi apelekwa Sweden

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali pamoja na kupangia vituo vya kazi mabalozi ambapo Balozi Mobhare Matinyi amepangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.

  6. PRIME Jaribio la kwanza tiba ya Ukimwi Afrika latoa matumaini kwa wanawake

    Jaribio hilo lililohusisha mbinu ya kinga ya mwili kwa pamoja, watafiti waliwapatia washiriki dawa za ARV kwa mwaka mmoja ili kudhibiti virusi na kulinda kinga ya mwili.

  7. Serikali yaanza kampeni elimu kujikinga na ugonjwa wa Mpox

    Katika kuhakikisha Jamii inakua salama dhidi ya magonjwa ya mlipuko, Wizara ya Afya imeanza kutoa elimu katika maeneo mbalimbali ya umma na vyombo vya habari kupitia waganga wakuu wa mikoa na...

  8. Watu 1,500 hufariki kila mwezi kwa kifua kikuu Tanzania

    Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 58,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024, hii ikiwa ni sawa na punguzo la asilimia 68.

  9. Uzalishaji hewa tiba ya oksijeni utakavyookoa maisha, gharama

    Ongezeko la uzalishaji wa oksijeni ya matibabu, kupitia mitambo inayojengwa na Kampuni ya Tanzania Oxygen (TOL) limetajwa litaboresha upatikanaji wake, pamoja na kupunguza gharama kwa asilimia...

  10. PRIME Janga shinikizo la juu la damu kwa watoto likiongezeka

    Watafiti wametahadharisha juu ya ongezeko la shinikizo la juu la damu kwa watoto wa shule za awali nchini, chanzo kikitajwa kuwa ni unene kupita kiasi.

Previous

Page 9 of 127

Next