Mambo sita ya kushangaza kuhusu Rayvanny Alianza kama msanii wa Rap kama ilivyokuwa kwa Aika wa Navy Kenzo, Lady Jaydee, Diamond Platunumz, Dayna Nyange na wengineo, baadaye akageukia uimbaji hadi kuivutia WCB Wasafi iliyomsaini na...
Kwenye mafanikio ya Mbosso, Rich Mavoko kahusika Alifanya vizuri tangu alipoibuka Mkubwa na Wanae kupitia Yamoto Band na akaendelea kutamba baada ya kusainiwa na WCB Wasafi, kwa kipindi chote Mbosso amejikusanyia mashabiki kibao kutokana na...
Kofia ya Yemi Alade yahamia kwa Zuchu Mwanamuziki Zuchu ametimiza miaka mitano tangu alipotambulishwa katika rekodi lebo ya WCB Wasafi yake Diamond Platnumz ambayo imetengeneza majina ya mastaa wakubwa ndani ya Bongofleva tangu 2015.
Ukimya wa Alikiba unavyorudi na mikwaju mizito Ni miezi sita sasa bila Alikiba kutoa wimbo mpya lakini sio jambo geni bali ni utamaduni wake kwa miaka nenda rudi, ni mara kadhaa amewahi kujipa mapumziko na baadaye ujio wake unakuwa wa...
Chioma akinuna Davido hatoboi kwenye muziki Mkali wa Afrobeats kutokea Nigeria, Davido amefunguka kuhusu nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mkewe Chioma katika maisha yake binafsi na kazi yake ya muziki akisema mambo huwa hayaendi sawa...
PRIME Sura tano tofauti za Hamisa Mobetto Jina la Hamisa Mobetto si maarufu Tanzania pekee bali Afrika Mashariki yote kutokana na kazi zake na mtindo wake wa maisha ambao unatolewa macho na vijana wengi na hata kuteka mazungumzo...
Harmonize anavyotumia kivuli cha Diamond kupiga hela Licha ya ugomvi wao miaka ya hivi karibuni, hilo haliondoi ukweli kuwa Staa wa Konde Music Worlwide, Harmonize anamtazama Diamond Platnumz kama mfano wa kuigwa (role model) katika muziki...
Oliver Mtukudzi na kisa cha dhiki za Neria Miongoni mwa nyimbo maarufu za Oliver Mtukudzi duniani ni ule uitwao 'Neria' ambao aliuandika maalumu kwa ajili ya kutumika katika filamu (Soundtrack) inayokwenda kwa jina hilo (Neria) iliyotoka...
Zari kwa Diamond hakumuacha mtu salama Kulingana na hali ya sasa tunaweza kusema kuwa Zari 'The Bosslady' Hassan alifanikiwa sana kuwaweka chini ya ulinzi Wema Sepetu, Hamisa Mobetto na Tanasha Donna katika ile vita ya kupigania...
Hichi ndicho Nandy kamzidi Billnass Ni miaka 10 sasa jina la Billnass limekuwa likizunguka katika Bongofleva akitoa ngoma kali, huku silaha yake kubwa ikiwa ni uwezo wa kutengeneza ladha (melodic rap) ya kipekee ambayo imefanya...