Trump kikwazo wanawake kuingia White House Donald Trump amekuwa kikwazo kwa wanawake kuingia Ikulu ya White House, ndiyo unavyoweza kusema kufuatia ushindi wake dhidi ya wanawake anaogombea nao.
Simulizi ya kijiji chenye mkazi mmoja Je, umewahi kusikia kijiji chenye mtu mmoja tu? Leo nitakupa stori ya kijiji hicho na historia yake.
Hivi ndivyo ajali, kifo cha Sokoine kilivyotokea Kila mtu anashituka. Kwanza, kupigwa wimbo wa Taifa siku zote kuliashiria kujiri kwa jambo kubwa la kitaifa. Pili, halikuwa jambo la kawaida kwa wimbo wa Taifa kupigwa alasiri; kawaida wimbo huo...
Fahamu vyama vilivyotoa marais Marekani nje ya Republican, Democrats Marekani inatarajia kufanya uchaguzi mkuu Novemba 5, mwaka huu huku kampeni za uchaguzi zikitawaliwa na vyama viwili vya Republican na Democrats, ambavyo ndivyo vimetoa marais wengi nchini humo...
Tantrade yateuliwa kuwania tuzo za WTPO 2024 Tantrade ni miongoni mwa mashirika matatu yaliyoteuliwa kushindania kipengele cha 'Matumizi Bora ya Teknolojia ya Habari' kwa mpango wake wa kuanzisha tovuti ya biashara Tanzania iliyozinduliwa...
Jaji Mutungi aonya kauli za wanasiasa zinazochochea uvunjifu wa Amani Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuchunga kauli zao kwa sababu zinaweza kusababisha uvunjifu wa amani hasa kipindi hiki taifa...
Tanzania, China kugeukia ushirikiano wa kimkakati Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesisitiza kuwa uhusiano na China haupaswi kutanguliza tu mafanikio ya kiuchumi ya muda mfupi bali pia kubadilika na kuwa ushirikiano wa...
PRIME Historia ya mvutano maandamano kati ya Polisi, upinzani Tanzania Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na mivutano ya kisheria na kikatiba, hasa linapokuja suala la maandamano.
PRIME Wafahamu viongozi watano wa Afrika waliong’ang’ania madarakani Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema (82) ndiyo kiongozi aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Afrika
Mbowe: Hatutarudi nyuma katika kutetea haki Kufuatia mfululizo wa matukio ya utekaji na mauaji ya wananchi na viongozi wa chama chake, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hawatarudi nyuma katika kutetea haki katika taifa hili.