Namba sita zinavyomfanya De Bruyne aondoke kibabe Man City De Bruyne anaondoka Manchester City akiwa ameacha kumbukumbu ya kipekee ambayo imeainishwa na namba sita tofauti.
Polisi watakiwa kutumia busara, ulinzi shirikishi kuelekea uchaguzi mkuu Jeshi la Polisi nchini limewataka askari polisi wote wa ngazi ya kata nchini kutumia sheria, busara pamoja na mbinu ya ulinzi shirikishi katika kubaini na kuzuia vitendo vya uhalifu kabla ya...
PRIME Mikoko kukauka Kijichi, mafuta ya Tazama yatajwa Katika hali isiyo ya kawaida mikoko iliyopo Kijichi, eneo ambalo Mto Mzinga unaingia Bahari ya Hindi, wilayani Temeke imekauka.
PRIME Mastaa hawa wameshikilia mechi ya Simba, Al Masry Mastaa hao katika timu zao wanaonekana kuwa ndiyo wamebeba matumaini makubwa ya kufanya vizuri na kuvuka kwenda nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
PRIME Mo Dewji anavyoleta mageuzi kwenye jamii Sahau kujumuishwa mara nyingi na Jarida la Forbes katika orodha ya mabilionea wa Kiafrika, tajiri wa Kitanzania, Mohamed Gullam Dewji, maarufu MO ana sura nyingine katika jamii ya Kitanzania.
Balozi Mwapachu azikwa, viongozi watoa neno Mwili wa Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu (82), umezikwa katika makazi yake ya milele, huku viongozi mbalimbali wakimzungumzia.
PRIME Mvua zazua kizaazaa Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama.
Vigogo sita wakutwa na hatia baraza la maadili, yumo hakimu Vigogo sita, akiwemo Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Puge Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, Cleophas Mziray, wametiwa hatiani na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kutowasilisha tamko la...
PRIME MZEE WA FACT: Soka letu lina mengi yakushtua Wallace Karia ambaye kwa sasa anamalizia muhula wake wa pili na ameshatangaza nia ya kugombea muhula wa tatu, anaelekea kupita njia ya Tenga kama kiongozi aliyetuliza hali na kujenga...
PRIME Mtihani mpya kwa Mzize, Fei Toto Ujio wa nyota hao wa kigeni unawafanya wazawa kuwa na kazi ya ziada ya kufanya kuhakikisha wanaiwakilisha nchi vizuri, lakini kwa misimu mitatu iliyopita mambo yalikuwa magumu.