Waliofariki kwa kuangukiwa na gema Same wazikwa, DC atoa neno
Same. Watu watatu waliofariki dunia baada ya kuangukiwa na gema wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, wamezikwa, huku Mkuu wa Wilaya hiyo, Kasilda Mgeni, akiwataka wananchi wanaoishi maeneo ya...