Profesa Janabi, wagombea wenzake kuchuana kwenye mdahalo Aprili 2 Kama sehemu ya mchakato wa uchaguzi wa mkurugenzi mpya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa Kanda ya Afrika, mdahalo wa wagombea kunadi sera kwa njia ya mtandao utafanyika Aprili 2, 2025.
Profesa Janabi rasmi kuwania ukurugenzi WHO, kuchuana na hawa Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), anawania nafasi hiyo akiwa sambamba na wagombea wengine wanne wote kutoka nchi za Afrika Magharibi.
Wanaume hatarini zaidi kufa kwa NCDs kuliko wanawake Takwimu hizo zinaonesha vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ambukiza vimeongezeka kutoka asilimia 34 mwaka 2019 mpaka kufikia 38.8 mwaka 2021.
Hivi hapa vichocheo vya magonjwa ya figo, gharama tatizo Licha ya uzito uliozidi, matumizi ya sigara na pombe kali kuwa vichocheo vya magonjwa sugu ya figo, wataalamu wameonya unywaji holela wa dawa hasa zile zisizothibitishwa na mamlaka zinachangia...
Mwanaidi Sarumbo: Simulizi ya miaka tisa ya huduma zahanati ya kijiji Mwanaidi Sarumbo ni miongoni mwa watumishi wa afya wachache, waliojitolea kuishi maeneo yasiyofikika kirahisi wakitoa huduma kwa wananchi saa 24, siku saba za wiki.
Wataalamu wataja njia sahihi na kujikinga na ugonjwa wa Mpox Wakati Serikali ikitangaza mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani unaosababishwa na virusi vya Mpox, wataalamu wamefafanua jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo, huku wakishauri hatua za kuchukua kwa sasa.
Wawili wakutwa na maambukizi ya Mpox Tanzania Dalili hizo ziliambatana na homa, maumivu ya kichwa, vidonda kooni, maumivu ya viungo vya mwili ikiwemo misuli na mgongo
Mkakati mpya utakavyopunguza vifo vya watoto wachanga Serikali ya Tanzania imezindua fomu mpya ya uandikishaji kwa watoto wachanga wanaolazwa ‘register’ ikiwa ni mkakati wa kupambana na vifo vya watoto wachanga.
PRIME Tiba asili zinavyoweza kuharibu figo zako Akielezea dalili za ugonjwa wa figo, Dk Mercy amesema kwa sababu pia magonjwa ya figo hayajulikani dalili zake mapema, vipimo huzibaini mapema zaidi.
PRIME Dk Nyambura afunguka mapito ya mwanamke katika uongozi Miongoni mwa wanawake wanasayansi ambao wamefanikiwa kiuongozi kwa Tanzania, hutosita kumtaja Dk Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii.