Mastaa Bongo waliotakata robo ya mwaka 2025 Hatimaye robo ya kwanza ya mwaka 2025 imetimia huku mengi yakijiri katika tasnia ya burudani Bongo ambayo imesheheni mastaa wenye nguvu kubwa ya ushawishi inayotokana na umaarufu wa kazi zao.
Taylor na Travis wajificha kimtindo! Mwanamuziki wa Pop Marekani, Taylor Swift pamoja na mpenzi wake, Travis Kelce wameamua kujifungia ndani ili kukwepa vyombo vya habari na mitandao baada ya uhusiano wao kuangazia sana kwa miaka...
Wema na Diamond ni alama isiyofutika Ni miaka zaidi ya 10 imepita tangu Wema Sepetu na Diamond Platnumz wameachana lakini uhusiano wao una alama uliyoacha katika tasnia ya muziki Bongo licha ya drama nyingi walizopitia pamoja kwa...
Kumbe Dully Sykes aliazima ile suti kwa Kusaga! KWA miaka zaidi ya 25, Dully Sykes amekuwepo katika muziki akifanya vizuri kwa nyimbo zake maarufu huku akitoa albamu tatu ambazo ni Historia ya Kweli (2002), Handsome (2004) na Hunifahamu (2005)...
Kumbe mpenzi alimlipia Nay kurekodi wimbo wa kwanza MSANII wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu kutokana na kuonekana...
PRIME Harmonize ajipanga kuupindua ufalme wa Sugu STAA wa Bongofleva, Harmonize ametangaza kukamilika kwa albamu yake mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa mwaka huu ikiwa ni ya sita ndani ya miaka sita mfululizo kitu ambacho hakuna msanii Bongo...
Nuh Mziwanda, Harmonize walivyogeuza mapenzi fursa Licha ya muziki wake kutawaliwa na drama nyingi kutokana na kuwa na uhusiano na Shilole kipindi cha nyuma, hiyo haiondoi ukweli kwamba Nuh Mziwanda ni miongoni mwa wasanii wa Bongofleva wenye...
Kumbe Ray C na Babu Tale tangu kitambo Baada ya miaka mitano akiwa kama Mtangazaji wa Radio, Ray C aliamua kujaribu bahati yake katika Bongofleva, basi sauti yake nzuri, nyembamba na ya kuvutia pamoja na uchezaji wake uliokosha wengi...
Mastaa wanavyonufaika na umaarufu wa kazi zao Umaarufu wa kazi zao unawafanya wasanii kutengeneza chapa zenye ushawishi mkubwa na hivyo kujikusanyia mamilioni ya wafuasi katika mitandao ya kijamii kitu ambacho ni fursa nyingine kwao...
Nahreel nyuma ya mafanikio ya Vanessa Staa wa Bongofleva, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado anatambua mchango mkubwa wa mtayarishaji muziki, Nahreel kutoka studio ya The Industry kwa kumtengenezea muziki uliokuza chapa yake kitu...