Upinzani wadai kuchezewa rafu serikali za mitaa, wengine wafurahia uteuzi
, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa aliwataka wagombea ambao hawajateuliwa na wana mapingamizi wayawasilishwe ndani ya siku mbili tangu uteuzi...