Afrika Kusini yatoa mshindi wa Sh30 milioni mashindano ya Quran Wakati yakifanyika mashindano ya kuhifadhi Quran kwa Afrika, Mohamed Amejair (23) kutoka Afrika Kusini ameibuka kidedea na kujinyakulia kitita cha Sh30 milioni, huku Rais Hussein Mwinyi...
PRIME Mpenja kutoka utangazaji hadi uigizaji, ishu yake na Azam ipo hivi... Mtangazaji maarufu nchini Baraka Mpenja siku za hivi karibuni amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na mtaani, baada ya kuibuka katika tamthilia ya Mwaipopo, akijulikana kama ‘Popo Boy’...
Kocha Newcastle aweka rekodi England Baada ya kuifunga Liverpool mabao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao, Newcastle United imefanikiwa kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mara ya mwisho ilipobeba taji la Inter-Cities...
PRIME Karia anakaribia umakamu CAF Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na baraza la soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, Wallace Karia amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka (CAF).
Vijana 200 Tanzania, Burundi kulipiwa mahari kupitia Al-Hikma Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ambao wapo tayari kuoa.
Wananchi wanavyojipanga kibiashara Daraja la Pangani Wananchi wa Pangani wameanza kupiga hesabu za kibiashara baada ya kukamilika kwa Daraja la Pangani linaloiunganisha Barabara ya Tanga- Pangani-Bagamoyo yenye urefu wa kilomita 256.
Marefa Tanzania watoswa Afcon 2025 Orodha ina marefa 17 wa kati, 18 wa pembeni na 10 ambao wataongoza teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR).
Profesa Janabi rasmi kuwania ukurugenzi WHO, kuchuana na hawa Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), anawania nafasi hiyo akiwa sambamba na wagombea wengine wanne wote kutoka nchi za Afrika Magharibi.
PRIME Kimbembe cha mikopo kausha damu mitaani Ndani ya kipindi cha takribani miezi mitatu kumeibuka wimbi la malalamiko kuhusu mikopo umiza maarufu kausha damu, huku baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa wakisema mengi yanaibuka baada ya...
ACT Wazalendo yasusia vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa, yataja sababu Kamati ya Uongozi Taifa ya chama cha ACT Wazalendo imetangaza kutoshiriki vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa vinavyoanza kesho Machi 12 hadi 13, 2025 huku kikitaja sababu tatu za kufikia...