Search

58 results for Aisha Charles :

 1. Vijana wanavyoitazama sanaa kama sehemu ya kutokea

  Dar es Salaam. Moja ya biashara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kama utaweka jitihada na nguvu katika kujifunza ni sanaa. Kutokana na hilo, sekta hii imekuwa ikikimbiliwa na vijana wengi hapa...

 2. Kayumba: Wasanii wengi hawana nidhamu, niliambiwa sitafika popote

  Mwanamuziki huyo alipozungumza na Mwananchi amesema kwa sasa nchini Tanzania muziki umekuwa jambo linalopelekea wasanii kutotegemea shoo kuendesha maisha yao.

 3. Waandishi wa nyimbo wapewa mbinu

  Imekuwa kawaida kuona wasanii wakipewa maua yao pindi ngoma zao zikifanya vizuri, lakini sifa wanazopewa wasanii hao ni tofauti na wanazopata waandishi wa nyimbo.

 4. Kilichofanya Meja Kunta aingie studio na Chidi Benz

  Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz

 5. Salha afunguka, sababu muziki wa taarab kusuasua

  Mwanamuziki wa taarabu, Salha Abdallah, ametoa ufafanuzi juu ya changamoto zinazokumba muziki wa taarabu na jinsi ambavyo umepoteza umaarufu wake katika miaka ya hivi karibuni.

 6. Kanye West atangaza kustaafu muziki

  Mwanamuziki wa hip-hop kutoka Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki.

 7. Ustaa bongo ni mzigo wa maumivu

  Kama kuna kitu kigumu kwenye huu ulimwengu, basi ni kuishi katika dunia ya umaarufu, hasa unaokulazimu kuficha maumivu na uonyeshe nyakati za furaha pekee.

 8. Maarifa ajipanga kuitumia kumbukizi ya kifo cha mama yake na mashabiki

  Baada ya ukimya wa takribani mwaka mmoja kwenye muziki, rapa Rashid Rais maarufu Maarifa Big Thinker amefunguka kuja na zawadi kwa mashabiki wake.

 9. Tbt za mastaa ni hamasa kwa mashabiki

  Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia na hata upande wa...

 10. Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP

  Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasanii wengi wanaonekana...

Page 1 of 6

Next