Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

293 results for Aisha Lungato :

  1. Mfahamu Mike ambaye sauti yake inatamba kwenye Kombolela

    Mwanamuziki Michael James ‘Mike Song’ ameeleza namna tamthilia ya Kombolela na Saluni ya Mama Kimbo ilivyofanya atambulike na kumpa madili kimataifa.

  2. Mbivu, mbichi kesi ya Diddy kujulikana Oktoba

    Inaelezwa kuwa hukumu ya Sean 'Diddy' Combs itatolewa Oktoba 3,2025 kwa makosa mawili likiwemo la kuhusika na biashara ya ukahaba, hatua hiyo imefikiwa baada ya wanasheria wake na waendesha...

  3. Waandaaji Miss Tanzania wapinga uamuzi wa Basata

    Kampuni inayojihusisha na kuandaa mashindano ya Miss Tanzania, 'The Look' imekata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa 'Basata' wa kufutiwa kibali cha kuendesha mashindao...

  4. Miaka kumi jela yanukia kwa Diddy

    Baada ya jopo la majaji kutoa uamuzi usiokamilika na kuifanya mahakama iwarudishe tena kujadili kuhusu kesi ya rapa Sean Diddy Combs, hatimaye uamuzi wa kesi hiyo umekamilika

  5. Njia alizopita Diamond kuwa nyota wa kimataifa 

    Dar es Salaam. Nyota wa muziki nchini Diamond ameeleza namna anavyotumia muziki wake kupenya kimataifa huku akifunguka kuachia albamu mpya itakayotoka Septemba, iliyosheheni kolabo mbalimbali za...

  6. Kinachoendelea kesi ya Diddy

    Majaji ambao wanasimamia maamuzi kwenye kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs wameripotiwa kufikia uwamuzi kwenye baadhi ya madai huku kesi ya kufanya uhalifu wa kupanga ikiendelea kutokana na kutokuwa...

  7. Kumbe MJ aliokoka wiki mbili kabala ya kifo chake

    Inaelezwa kuwa Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson, alikuwa si tu mtu aliyegusa mioyo ya watu kupitia muziki wake bali alimpenda Mungu wakati wote

  8. Hali ya Mushizo bado, moshi waingia kwenye kifua

    Akizungumza na Mwananchi meneja mkuu wa msanii huyo Mkumbange ameeleza kuwa kwa sasa Mushizo anaendelea na matibabu huku sababu inayoendelea kumweka hospitalini hapo ni maumivu ya kifua...

  9. Majadiliano yaendelea hatma ya Diddy

    Majaji wameanza majadiliano rasmi katika kesi inayomkabili rapa maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono, vitendo...

  10. Wakazi: Hawawezi kufanya kama mimi, wanataka vitu vya haraka

    Dar es Salaam. Nguli wa muziki wa Hip-hop nchini, Webiro Wassira 'Wakazi' amesema kuboresha maisha na tabia binafsi inaweza kuwa njia bora ya kuibua wasanii watakaoweza kutumbuiza live kwenye...

Page 1 of 30

Next