Fundi magari mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya Katekista Songwe
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia fundi magari, Lameck Mwamlima (29), mkazi wa Migombani, Tunduma, kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Parokia ya...