Wake za vigogo kulipwa mafao moja ya miswada mibaya kuwahi kutokea
Wiki iliyopita wengi wamejua kauli ile ya Mama Salma haikuwa ya kuchangamsha Bunge tu, bali ilidhamiria kweli kuona watu wa aina yake wanapata mafao. Mtu unaweza kujiuliza, yeye na wenzake...