Serukamba akomalia urejeshwaji wa Sh900 milioni za mikopo Mafinga MKuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba ameagiza halmshauri ya Mji Mafinga kuhakikisha Sh927.2 milioni zilizotolewa kama mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu...
Wawili wateketea magari mawili yakigonga na kuwaka moto Mufindi Watu wawili wameteketea kwa moto na kubaki majivu baada ya ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso na baadaye kushika moto katika eneo la Sao Hill, msitu wa...
PRIME Tabasamu larejea kwa Mwalimu Lyuvale, aliyepata ajali akienda benki Tabasamu limerejea machoni mwa Mwalimu Silvester Lyuvale (52) wa Shule ya Msingi Kinyanambo, Halmashauri ya Mji Mafinga, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.
Waliokata nguzo ya Tanesco wakidai kutumwa na Mungu watupwa jela Kutokana na hatia hiyo, mahakama hiyo imewahukumu adhabu ya kulipa faini ya Sh500,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi sita Jela.
Mbaroni akituhumiwa kumuua mtoto wake Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Joseph Mhilila (28), mkazi wa Mtaa wa Lukosi, Kata ya Mkwawa, Manispaa ya Iringa, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Timotheo Joseph mwenye umri wa miaka...
Baada ya miaka 10 gizani, Ilala waanza kupata umeme Mradi huo ni miongoni mwa miradi tisa yenye thamani ya Sh20.4 bilioni iliyokaguliwa na kuzinduliwa wakati wa mbio za Mwenge katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa...
VIDEO: Walivyoagwa sita waliofariki ajali ya ambulensi, toyo Mafinga Miili hiyo iliwasili katika viwanja hivyo kuanzia saa 5:00 asubuhi kwa ajili ya shughuli ya pamoja ya kuuaga, kutokana na wote kuwa wakazi wa mtaa mmoja wa Amani.
Waliofariki ajalini Iringa kuagwa kesho Miili ya watu sita kati ya saba waliofariki dunia katika ajali ya gari la kubebea wagonjwa lililogongana na pikipiki ya magurudumu matatu, maarufu 'Guta' inatarajiwa kuagwa kesho Jumatatu Aprili...
PRIME Pasaka ilivyogeuka kuwa majonzi kwa familia saba Kati ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo, wanawake ni sita waliofariki dunia papo hapo na mwanaume mmoja aliyefariki wakati akiendelea kupatiwa matibabu.
Saba wafariki dunia ajali ya ambulance na toyo Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi wa ajali hiyo leo Jumamosi, Aprili 19, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Linda Salekwa, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.