Mganga wa kienyeji, wenzake wawili kizimbani kwa mauaji
Ezekiel Charles (40), mganga wa kienyeji pamoja na wenzake wawili wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Wilaya ya Magu kwa madai ya kumuua Ester Lukonu, mkazi wa Kijiji cha Bugumangala Wilaya ya Magu...