CAG: Awajibu wawakilishi waliomtaka aombe radhi Sakata la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar la kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Othman Abbas Ali kuwaomba radhi limeibuka kivingine, baada ya Dk Ali kuibuka...
Mtoto wa Trump atua Tanzania, aahidi kuwa balozi Donald Trump Jr ambaye ni mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, amefika nchini kutembelea maeneo mbalimbali huku kueleza kuvutiwa na vivutio vya utalii vilivyopo nchini.
Aliyedaiwa kumtoboa jicho mkewe kisa mjomba akamatwa Siku chache baada ya kufanya tukio la ukatili kwa kupiga, kumng’oa jino kwa plaizi na kumtoboa jicho mkewe kwa bisibisi, mtuhumiwa Isack Robertson amekamatwa jana akiwa Himo mkoani Kilimanjaro.
Aliyengolewa jino, kutobolewa jicho kuona tena Uchunguzi wa awali unaonyesha mwanamke Jackline Mnkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini Arusha, ambaye alitobolewa macho na kung'olewa jino, uwezo wake wa kuona haujaathiriwa kwani jicho moja...
Mimea vamizi sasa yatishia malisho, migogoro ya ardhi Mimea vamizi inayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi imevamia zaidi ya ekari 7,000 katika Wilaya za Ngorongoro, Monduli na Longido.
Wawili wafariki baada ya kugonga treni Wanaume watu wakazi wa Lukobe wamefariki dunia papo hapo baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kugonga behewa la treni katika kivuko cha reli eneo la mpaka wa kijiji cha Kingolwira na...
12 mbaroni wakidaiwa kuvamia ofisi ya Serikali Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha leo Mei 23, 2023 imedai watu hao walifanya uharibifu katika ofisi ya Serikali ya kijiji cha Jangwani, ikiwemo kuchana bendera ya...
Rais Samia afanya uteuzi, yumo aliyewahi kuwa DC Hai Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa mabalozi nane wakiwamo maofisa wawili kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Membe awakutanisha viongozi wa juu wa Serikali Serikali yote ipo hapa, hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kile kinachoendelea katika viwanja vya Karimjee ambapo inafanyika shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Benard...
Sungusia achaguliwa kuwa Rais TLS Wakili maarufu nchini, Harold Sungusia amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) katika uchuguzi uliofanyika leo Jumamosi Mei 13, 2023.