PRIME Tumechanganywa na tumechanganyikana Fyatu mwenzenu niliipata kinoma. Katika kupata ulabu si akatokea chawa mmoja akamshambulia rafiki yangu ambaye ni mchunaji, sorry mchungaji wa kujipachika. Ni wakati alipokuwa akisifia ufyatu...
PRIME Fyatu kutoa gari kwa kila mpika kura ya kula Kama mjuavyo, uchakachuaji, sorry, uchaguzi mkubwa umekaribia, na ninagombea urahis na lazima nitashinda hata kama ni kwa goli la mkono kama lile na Mapepe Tunaye. Hivyo, kwa vile mie ni muwazi...
Kwa nini umfiche mwenza wako kipato? Mwenye kuficha siri hana uhuru wala amani moyoni. Mwenye kutunza siri inayoweza kuivunja ndoa yake hana tofauti na mgonjwa wa saratani.
PRIME FYATU MFYATUZI: Tunaongopewa na kuongopeana Kuna mambo yanachusha, kukera, kutisha, kukatisha tamaa, na kusikitisha ingawa mafyatu hawatishiki japo watishwa. Tuweke sawa. Leo, nitafyatua baadhi ya mambo tufanyayo au kufanyiwa mafyatu.
Kama wakwezo wanga, wazazi wako nao wanga Huwa unajisikiaje na kuelewaje? Si jambo jipya kusikia fulani akilalamika kuwa wakwe zake ni wanga. Mara nyingi, malalamiko haya hutolewa na wakamwana wanaposhindwa kuelewana na mama wakwe hata...
PRIME Mnaringia ‘kiinglish’, nyie ni british au ni brutish! Badala ya kuwafyatua wanene waliowafyatua wenzao, waliingia ntego na kuanza kufyatuana wenyewe kwa wenyewe. Kwa nini mnacheza ngoma ya wengine mkidhani yenu nyambaff wakubwa?
PRIME Injili ya Fyatu kwa mafyatu na maajabu ya Kaya Kuna wajinga wanaoitwa wasomi na wasomi wanaoitwa wajinga. Usomi na ujinga vinapokosa tofauti, nini faida ya kusoma? Wapo walioelimika bila kusoma kama shehe Karume na waliosoma wasielimike kama...
Mfilipino alijua kaoa, kumbe kaolewa Kila asubuhi, iwe kiangazi chenye joto kali au kipupwe chenye baridi kiasi cha shughuli za umma kama biashara na shule kufungwa, utamuona akitweta akimtembeza mbwa wa mkewe.
PRIME FYATU MFYATUZI: Marufuku mafyatu kugwijimisha religion na politics Huwezi kuwa popo ukakubaliwa na wanyama au ndege. Hatutaki wala hatutavumilia upopo. Lazima tuwapige kipopo.