Arusha, Manyara zatajwa kinara vitendo vya ukeketaji nchini
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imesema mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa ukeketaji kwa kiwango cha asilimia 43, ikifuatiwa na Mkoa wa Mara kwa asilimia 28.