AKU yaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kupanda miti Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) nchini Tanzania kimeshirikiana na wanafunzi wa shule za msingi za Muhimbili na Olympio kufanya usafi wa mazingira...
Faida za ndege mpya ya mizigo, wafanyabiashara kicheko Ndege mpya ya mizigo inayotarajiwa kuwasili kesho, inaelezwa kuwa itawapunguzia wafanyabiashara gharama za usafirishaji, hasa wa bidhaa za maua, mbogamboga, nyama na samaki kwa kuwa sasa...
‘Dege’ la mizigo kutua nchini, kupokelewa na Rais Samia Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuipokea ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 737 - 300F itakayowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jumamosi Juni 3, 2023.
UN: Tuwekeze zaidi kwa vijana Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), Mark Schreiner amesema uwekezaji mkubwa unahitajika kwa vijana ili kuwawezesha kuwa na ujuzi wa kufanya kazi.
Rais Tinubu wa Nigeria aahidi kuimarisha usalama Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu aliyeapishwa leo Mei 29, 2023 ameahidi kuunganisha Taifa hilo lenye watu wengi zaidi barani Afrika na kukabiliana na ukosefu wa usalama kama kipaumbele kikuu.
Beki wa Rwanda: Tulieni nakuja Simba KAMA ulikuwa unadhani Simba imelala baada ya kushindwa kutwaa taji lolote kwa msimu wa pili mfululizo, basi umekosea kwani tayari mabosi wa timu hiyo wapo bize kusaka vifaa vya msimu ujao akiwemo...
Changamoto mbili zinazomkabili Rais mpya Nigeria Mwanasiasa mkongwe, Bola Tinubu ameapishwa leo Mei 29, 2023 kuwa Rais mpya wa Nigeria wakati Taifa hilo lenye watu wengi zaidi barani Afrika likipita kwenye changamoto za kiuchumi na kuzorota kwa...
Ewura kuamua bei ya umeme Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Maharage Chande amesema siyo busara kushusha umeme baada ya mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), badala yake uwekezaji zaidi...
Chande: Si busara kushusha bei ya umeme Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande: Tumemalizana na Zanzibar deni la Umeme Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema wamemaliza migogoro na Shirika la Umeme la Zanzibar (Zesco) baada ya kukaa na kukubaliana viwango vya tozo za umeme.