ACT-Wazalendo 'waitaka' Kigoma chaguzi zijazo Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama cha ACT-Wazalendo, Mhonga Said Ruhwanya amewataka wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuwachagua wanaotokana na chama hicho katika chaguzi zijazo ili waonyeshe tofauti ya...
ACT-Wazalendo yapigania viwanda vya kahawa Kigoma Chama cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kujenga viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo ikiwemo kahawa kuwahakikishia wakulima soko la uhakika la mazao yao.
Zitto: Nang’atuka uongozi wa ACT-Wazalendo 2024 Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hatagombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Machi, 2024.
Zitto kupigania ujenzi barabara kuunganisha Kigoma-Katavi Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kampeni maalumu kuishinikiza Serikali kujenga barabara ya Simbo-Rukoma-Kalya-Mpanda kwa kiwango cha lami, ili ipitike kipindi chote cha...
Sintofahamu hekta 10,000 alizotoa Magufuli Kasulu Madai hayo pia yalitolewa na Alfred Nsanzugwako kutoka Kijiji cha Mvinza, akisema baadhi ya maeneo ambayo sasa wananchi wanakodishwa kwa malipo kati ya Sh20, 000 hadi Sh50,00 kwa ekari kwa msimu...
ACT-Wazalendo kuwawekea mawakili waathirika wa kamchape Vitendo vya kamchape siyo tu huambatana na vurugu, bali pia wizi, uporaji, upotevu na uharibifu wa mali. Wakati mwingine vitendo hivyo husababisha vifo kama ilivyotokea Kijiji cha Kazuramimba.
Zitto awang’ang’ania vigogo wa Serikali Kakonko kifo cha kijana Enos Kifo cha Enos ambaye enzi za uhai wake alikuwa akijishughulisha na kilimo na ujasiriamali alitoweka katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa maofisa wa Uhamiaji Wilaya ya Kasulu kabla...
Zitto aomba Tume ya Rais kumaliza migogoro ya ardhi Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuunda Tume maalum kushughulikia na kumaliza migogoro ya ardhi nchini.
ACT-Wazalendo yajitwisha zigo ujenzi wa soko Kibondo Soko la Samaki linategemewa na wajasiriamali zaidi ya 300 wanaouza bidhaa mbalimbali ikiwemo mbogamboga, mazao ya samaki na nafaka. Awali eneo lilipo soko hilo lilitengwa kuwa eneo la wazi kabla...
Zitto ataka timu ya Makamishina kuchunguza kifo tata Kokonko Kifo ha kijana Enos ambaye enzi za uhai wake alikuwa akijishughulisha na kilimo na ujasiriamali kimegubikwa na utata baada ya kutoweka kwa siku kadhaa kabla ya mwili wake kukutwa ukiwa umezikwa...