Maana ya ongezeko la simu janja katika huduma za kifedha
Simu janja si tena anasa. Kwa sasa, vifaa hivi vimekuwa zana muhimu za kujipatia kipato, kuweka akiba, kutuma na kupokea fedha, na hata kukopa. Kadri mabadiliko haya yanavyozidi kushika kasi...